Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,994
- 12,772
Maulid Itakuwa Kitenge.
Jamani, naomba kujuzwa. Kwa anayefahamu, Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa?
Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na nyingine ni keshokutwa.
You are too older to answer that
maulid ni bidaa,,,,,,,,,,,maulid ni uzushi,,,,,,,,,,,,,maulid ni dhambi!
watu wabida bwana mnaulizia sherehe zisizo na maana ktk dini yenu.hakika yule mwenye kuzidisha jambo juu ya dini ya mwenyezimungu moto utakuwa makazi yake.
acha kukurupuka wewee....mbona vimeongezwa vingi tu....mtume hakuacha masahafu wala juzuu kama vitabu ...mtume hakuacha kur an yenye dhuma fatha kisra nk ...we vipi...bidaha kunzungumzia mtume wako kama wew huna muda watakuja wenye muda wamkashifu
kuzaliwa kwa mtume Mohamad SAWInahusika na nini hasa Maulidi?? I mean ni nini kinasherehekewa.......kwa wahusika tu
Inshallah! Tutasherekea kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W. na Yesu Kristo (Nabii Issa) kwa pamoja.
Mkuu naona hapo kuna typing error.Tarehe 23/ Dec ni mkesha na tarehe 25 ndio Maulid day yenyewe, hii ni kwa mujibu wa tamko la BAKWATA.
Yaani wewe hujui kinachosheherekewa kwenye hiyo siku kubwa ya Maulid?Inahusika na nini hasa Maulidi?? I mean ni nini kinasherehekewa.......kwa wahusika tu
If You Gave Birth To Me That's Okay!
Mkesha wa Maulid ni tarehe 23 Dec mapumziko ni tarehe 24 Dec.