NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,805
- 20,689
Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k.
Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha utajiri na mitaji mikubwa Kwa wahusika badala ya uzalendo,kama siasa ingelipa kawaida kama kazi nyingine sidhani kama mauaji haya kama yangekuwepo.
Kwa nchi zilizoendelea siasa ni KAZI ya kizalendo ya ziada ambayo mtu hufanya baada ya kufanikiwa kwenye career yake alioifanya maisha yake yote,na huingia kwenye siasa kizalendo na kulipwa pesa kiasi TU ambacho ni kidogo ukilinganisha na malipo ya career yake alioifanya maishani!mfano huko uk ubunge na uwaziri ni kazi yenye malipo kidogo na hakuna mbwembwe kabisa kama huku kwetu!!
Malipo makubwa kwenye siasa kumefanya wataalamu wengi kukimbilia siasa na kuacha professional zao na hasta kuamini Imani za kishirikina Ili kupata nafasi hizo na ndio huleta mauaji ya kafara Ili kupata vyeo,wizi,upiga deal,rushwa na ubadhirifu no matokeo ya siasa kulipa sana kuliko uweledi!
Kama taifa lazima tuingize mzalendo akabadili muelekeo was siasa zetu na malipo yake,malipo makubwa kiasi yafanywe kwa ueledi husika katika fani mbali mbali na siasa iwe KAZI ya kawaida ya wazalendo ili kutatua matatizo makubwa sana tunayopitia!!
Leo wapinzani wanakamatwa na polisi kwasababu kuu kuwa ni pigo la ulaji Kwa wanasiasa wa.chama tawala,lakini kama siasa zikiwa kazi za.kawaida hata kamata kamata,poteza poteza,ua ua ya wakosoaji wa wanasiasa itaisha coz itakua ni KAZI ya kizalendo Sana kuliko kutajirikia kama ilivyo sasa!!
Aingizwe mtu kwa strong hold akaifanye siasa ikawa KAZI ya kizalendo isiyo na malipo ya kufuru na anasa kama ilivyo sasa!!
Wenye mamlaka chukueni hatua!