BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,208
Bado ile inayoweka "x" badala ya "s"
" Mfano mtu anaandika neno ''kelo'' badala ya keroUnakuta mtu badala aandike neno kwa usahihi analiandika katika matumizi ya herufi ambayo siyo na huku ni kuzuoesha wengine matamshi ambayo mwisho wa siku yatazidi kuharibu lugha ya kiswahili.
Mfano mtu anaandika neno ''kelo'' badala ya kero
''habali'' badala ya habari
''badara'' badala ya badala
''hasila'' badala ya hasira
Tujifunze matumizi sahihi ya herufi ndugu zangu, mazoea ni kilema. Hadi kwenye magazeti waliozoea kukosea matamshi haya huandika kwa kukosea pia.
Ahsanteni.
Umekosea pia wakati sasahivi umetoka kurekebishwa...utofautiana=hutofautiana.Tatizo nyinyi watoto wa ki dar es saraama mnajifanya mnajuwa sana kufanya critic, mmesaau kuwa watu utofautihana ufaamu na mda mwengine ni makaso ya kibinadamu na wengine kiswahili sio lugha yao.
Tafadhari
Tafadhari
Hahaha...harekebishiki huyo.-hutofautiana
-ufahamu
-muda
-mwingine
-makosa
Ahsante...ndo sahihi,hiyo nyengine ni mazoea tuNaomba kuuliza jamani.hivi ni Asante au ahsante?
Seremalajamani mie nisaidieni huyu fundi samani (kapenta) herufi zake huandikwaje kwa usahihi: SEREMARA au SELEMARA au SEREMALA au SELEMALA?.hapa huwa nachemka kwelikweli.
Hujaelewa siyo hujahelewaLabda mtoa maada yanakela nini, ivi ukikuta sms kwenyesimu yako imeandikwa "Umepokea SHIRINGI 1'000'000 utakuwa bado hujahelewa.
Ni seremala.jamani mie nisaidieni huyu fundi samani (kapenta) herufi zake huandikwaje kwa usahihi: SEREMARA au SELEMARA au SEREMALA au SELEMALA?.hapa huwa nachemka kwelikweli.
Watu kama nyie ndiyo hamtaki kujifunza. Ndicho tunacholalamikia matumizi mabaya ya herufi "l" na "r".Labda mtoa maada yanakela nini, ivi ukikuta sms kwenyesimu yako imeandikwa "Umepokea SHIRINGI 1'000'000 utakuwa bado hujahelewa.
ThanksAhsante...ndo sahihi,hiyo nyengine ni mazoea tu
Utakua umefanya kusudi tu kukosea hapo kwenye red.Ata mi wananikela sana wanatia hasila sana awa na hii ni asala kubwa
NyengineThanks