Matumizi ya smart tv tunazitumia kwa usahihi?

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,177
4,302
Habari,

Nimekuwa nikijiuliza Mara kadhaa hii n kutokana na tv ninayoitumia Mana Kuna sehemu ya YouTube, neflex, Yan app nyingi tuu hii ikimaanisha nikiwaconnected vizuri na internet naweza angalia chochote nitakacho kupitia internet Kama technology inavyoruhusu.

Wajuzi swali kwenu Sasa kutokana na changamoto za kupata local channels na kuangalia mpira n gharama Sana siwezi itumia hii TV yangu kupata hizo channels na kufaidi kina sky sport, ESPN, Mtvbase ya USA, channel 0 ya south na nyingine nzuri bila kusahau Livestream?

Karibu mtutoe tongotongo
 
Inawezekana bila shida. Japo Apps nyingi zenye Hizo channels sio reliable. Leo unaweza ona skysport ipo Ok kesho hakuna kwa sababu wanao rusha hizo channels wanafanya ujanja ujanja na sio official.

Japo official zipo ila inakubidi kilipia. Mfano DSTV na Netflix
 
Hizo ni za kulipia mfano netflix ama amazon prime na nyengine ni za kulipia lakini hata ukilipa huwezi kuziona eneo kama Tanzania mfano sky, HBO etc utahitaji na vpn, maana licence yao ni maeneo zinapotoka.

Ya bure ni youtube.
 
Ndiyo unagundua leo?
Mi sahiv nna mwaka ving'amuzi sijalipia. Mi ni bando langu tu. Wazungu wote nawaona Liveee

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa mkuu huwa nawaza Hilo linawezekana inshu n jinsi ya kuconnect kunasiku nlijipamuda nikaunga internet wireless tv ikapokea net ila inshu ikaja zile app kurespond ndo mziki nipe a,b,c,d inakuaje?
 
Inawezekana bila shida. Japo Apps nyingi zenye Hizo channels sio reliable. Leo unaweza ona skysport ipo Ok kesho hakuna kwa sababu wanao rusha hizo channels wanafanya ujanja ujanja na sio official.

Japo official zipo ila inakubidi kilipia. Mfano DSTV na Netflix

Mfano NI install app ya DStv sinitakuwa nimerud kule kule kwenye king'amuz au huku kwenye app huna haja ya KULIPIA?

Vp hao Netflix mpira umo au Mana hyo app naiona ipo.
 
Hizo ni za kulipia mfano netflix ama amazon prime na nyengine ni za kulipia lakini hata ukilipa huwezi kuziona eneo kama Tanzania mfano sky, HBO etc utahitaji na vpn, maana licence yao ni maeneo zinapotoka.

Ya bure ni youtube.

Vp nikiwa naregister nikachange location isomeke uk vp bado itakuwa haijasaidia Mana Kuna sehemu napita naona sky sport wengine beIN sport Yan natamani Sana kumsahau DStv
 
Mfano NI install app ya DStv sinitakuwa nimerud kule kule kwenye king'amuz au huku kwenye app huna haja ya KULIPIA?

Vp hao Netflix mpira umo au Mana hyo app naiona ipo.
Unalipia mzee hakuna kitu cha bure. Wameweka Android ili kukupa urahisi wa ku access DSVt mobile
 
Wanazingua Sana washetoa channels nzuri na wanaanzisha zao wakishirikiana na Nigeria wanaboa Sana.

ESPN,channel O, Sony max, Trace ubran hata MTV tunazoangalia sio oG nataka niwe huru na kulipa ninachostahili vp hyo Netflix KULIPIA n pesa ngap @mwez / 6months
 
Vp nikiwa naregister nikachange location isomeke uk vp bado itakuwa haijasaidia Mana Kuna sehemu napita naona sky sport wengine beIN sport Yan natamani Sana kumsahau DStv
Unaweza ila bei hazitofautiani sana na hio dstv + gharama ya internet.
 
Wanazingua Sana washetoa channels nzuri na wanaanzisha zao wakishirikiana na Nigeria wanaboa Sana.

ESPN,channel O, Sony max, Trace ubran hata MTV tunazoangalia sio oG nataka niwe huru na kulipa ninachostahili vp hyo Netflix KULIPIA n pesa ngap @mwez / 6months
Netflix kama dola 10 kwa mwezi na unaweza kushare na watu hadi 4, sema ni movie na series tu hakuna live tv.
 
Kwahyo uwezekano wa kuangalia mpira NI mgumu kupitia sky sport au beIN sport?
Unaweza kuangalia kwa njia za panya mfano ukatumia service za wachina, ila kihalali ni ngumu sana na ni gharama.

Vpn dedicated + gharama za sky + bundle isiyo na mawazo.
 
Poa boss wacha nichanganye zakuambiwa na zakwangu tuone
 
Back
Top Bottom