Matumizi ya neno Cc

Zamani wakati wa Typewriter cc ilimaanisha carbon copy ila kwa sasa cc ni copy circulated. Na cc inaandikwa kwa herufi ndogo sio Cc.
umeshasema zamani mkuu...KUNA TATIZO KWANI????
 
Nyongeza ya hii ni kuwa..

Cc haimpi haki aliyekuwa copied alireply! Ila bcc: anaweza reply
 
Afu huwa hawachangii kitu cha maana humu naonaga ushamba fulani na ushambenga! Mtu unaanzisha sred yanakuja kuitumia kutongozana! Hebu tuache huu ushamba wa kiswahili

Mkuu ukiwa kwenye penzi jipya mambo yanakuwa hivi, au ukute ni mbinu za mmoja kumwibia mwenzake kwa I love you kila mahali.

Yote yanawezekana.
 
Mkuu ukiwa kwenye penzi jipya mambo yanakuwa hivi, au ukute ni mbinu za mmoja kumwibia mwenzake kwa I love you kila mahali.

Yote yanawezekana.
Hamna kitu mkuu, hapo ni uhayawani tu! Mapenzi ya dhati kuna haja gani ya kuyatangaza! Dume zima anakuwa online muda anasubiri kila sred ikiwekwa faster anareply kwa kuandika pumba sijui mke wangu fulani ukuje huku! Uhayawani wa kiwango cha lami
 
Ujana ni maji ya moto, ukienda haurudi tena.

Acha vijana wajinafasi.
 
cc ni abbreviation ya neno "carbon copy"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…