Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,219
- 2,761
Cc makinikia
umeshasema zamani mkuu...KUNA TATIZO KWANI????Zamani wakati wa Typewriter cc ilimaanisha carbon copy ila kwa sasa cc ni copy circulated. Na cc inaandikwa kwa herufi ndogo sio Cc.
Nyongeza ya hii ni kuwa..Niongezee CARBON COPY
Huu ni msamiati unatumiwa kwenye e-mail kunakuwa na carbon copy na blind carbon copy matumizi yake ni kama ifuatavyo:
mfano unataka kutuma e-mail kwa Numbisa Jovitha mahondaw Smart911 Troll JF Hance Mtanashati
kwenye kutuma unaweza ukamtumia Numbisa, jovitha na mahondaw ila kama unataka smart911, trol jf na hance mtanashati wajuane kwamba e-mail moja umewatumia wote na wote wanajua nani aliyetumiwa ndo hapo CC INAPOCHEZA
Ila kama hutaki wajuane ndo BCC inahusika ila kunakuwa na taarifa kwamba na wengine wametumiwa ujumbe huo bila kukupa taarifa ni nani hao
Afu huwa hawachangii kitu cha maana humu naonaga ushamba fulani na ushambenga! Mtu unaanzisha sred yanakuja kuitumia kutongozana! Hebu tuache huu ushamba wa kiswahiliNahisi kama kuna kujishtukia hapa.
Afu huwa hawachangii kitu cha maana humu naonaga ushamba fulani na ushambenga! Mtu unaanzisha sred yanakuja kuitumia kutongozana! Hebu tuache huu ushamba wa kiswahili
Hamna kitu mkuu, hapo ni uhayawani tu! Mapenzi ya dhati kuna haja gani ya kuyatangaza! Dume zima anakuwa online muda anasubiri kila sred ikiwekwa faster anareply kwa kuandika pumba sijui mke wangu fulani ukuje huku! Uhayawani wa kiwango cha lamiMkuu ukiwa kwenye penzi jipya mambo yanakuwa hivi, au ukute ni mbinu za mmoja kumwibia mwenzake kwa I love you kila mahali.
Yote yanawezekana.
Hamna kitu mkuu, hapo ni uhayawani tu! Mapenzi ya dhati kuna haja gani ya kuyatangaza! Dume zima anakuwa online muda anasubiri kila sred ikiwekwa faster anareply kwa kuandika pumba sijui mke wangu fulani ukuje huku! Uhayawani wa kiwango cha lami
cc ni abbreviation ya neno "carbon copy"Naombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?
Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?
Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.
Mfano Cc Numbisa
Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina