PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
nimekupata mkuu tatizo linakuja nashindwa kutambua hizo version za hdmi au display port... ukiangalia kwenye monitor tundu la hdmi halijaandikwa version yake same to display port...nisaide jins ya kujua versionni vyema ukaangalia version.
HDMI 2.1 bila ubishi ndio bora zaidi, nafkiri hadi 10k inaenda, ina dynamic hdr, inakubali hometheatre za kisasa, refresh rate hadi 4k kwa 120hz nk, ila ndio mpya imetoka na vifaa vingi haina.
hivyo angalia hdmi yako ni ipi na display port yako ni ipi halafu ndo ufanye comparison. pia unatakiwa uangalie na monitor au tv yako kama nayo inahitaji port nzuri kama hizo.
kwa matumizi ya kawaida nyumbani nyumbani HDMI INATOSHA ila kwenye matumizi proffessional Display port bado ina nafasi yake mfano inaweza kudrive monitor nne kwa kutumia port hio hio moja na zikawa na sauti kitu ambacho hdmi ni ngumu.