djcalvin334
Member
- Feb 25, 2017
- 14
- 0
Nasemea deck yenye port ya HDMI kwenda kwenye monitor yenye port ya DVIme binafsi niliwahi kuwa na deck yenye vga nikawa pia natumia na monitor
Nimekupata kwa ushauri wako Kaka ntaufanyia kazimkuu kuna possibility nyingi hapo
-kuna port sio za kuonyeshea ni za ku update system, mfano kuna receiver zina hio port ila ni kwa ajili ya kuconect na pc na kufanya updates.
-inawezekana ikaonyesha
-nyengine zinahitaji converter sababu kifaa chenyewe kinakuwa sio smart kutambua signal.
kwanini usitafute huo waya hata kwa fundi au rafiki ukatest kabla hujanunua?
haya poa tatizo hukufafanua vizuri, lakini nadhani ushapata msaada.Nasemea deck yenye port ya HDMI kwenda kwenye monitor yenye port ya DVI
Yap Ndio Bosshaya poa tatizo hukufafanua vizuri, lakini nadhani ushapata msaada.
Samahan Boss Hyo HDCP Nn ..!? Na nitajuaje km hyo monitor yng inasaport hyo ki2Kitu kikubwa cha kuangalia ni kama monitor yako ina support hii kitu HDCP kama ni compliant, basi unaweza kutumia HDMI source yoyote kwenye monitor yako utakacho hitaji ni cable au converter DVI-HDMI, HDMI-DVI.
Nimeshawahi kutumia HDM-DVI ku-link monitor na vinga'muzi kadhaa na PS3.
High-bandwidth Digital Content Protection (HDCP) is a form of digital copy protection developed by Intel Corporation to prevent copying of digital audio and video content as it travels across connections.Samahan Boss Hyo HDCP Nn ..!? Na nitajuaje km hyo monitor yng inasaport hyo ki2
Compaq W185q MonitorHigh-bandwidth Digital Content Protection (HDCP) is a form of digital copy protection developed by Intel Corporation to prevent copying of digital audio and video content as it travels across connections.
Kuhusu kujua kama monitor yako ina support search specs za monitor yako. au weka model yake hapa.
Compaq W185q Monitor
Product No. NM972A
Regulatory Model No. HSTND-2511-T
Searial No. CNT939C5N1
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
ni vyema ukaangalia version.wakuu samahan kwa kutoka nje ya mada..nataka kuuliza hivi kati ya HDMI na Display port ipi ni bora kwa display quality
cc: Chief-Mkwawa