Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 20,687
- 33,830
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kuna matukio makubwa sana ya kutisha na kutingisha yaliyo kuwa ya trend na yalioibuka ndan ya majuma haya mawili yamezimwa kabisa na bilionea dk shika AKA mzee wa 900 itapendeza
NDOA YA DOGO JANJA NA UWOYA hili ndo tukio lilikuwa talk of the town ndo ndoa ilikuwa imezua utata na watu walikuwa wakiijadili kila siku lakin ilikoma tu baada ya dk shika kushinda mnada wa mahekalu ya lugumi baada ya kufika bei zaid ya trion tatu
ZIARA YA RAIS ziara hii ilizimwa kabisa kabisa na dk shika na watu wakawa hawajui kabisa rais yuko wap na anafanya nini na walikuwa hawajui kabisa kama kasharud inchin au bado yuko uganda
KIKI ZA KIGWANGARA aisee huyu wazir naye alikuwa ametrend kwenye media kwa uchapa kas wa matamuko lakin baada ya dk shika kuibuka jamaa kazimwa kabisa
LAZARO NYARANDU KUHAMIA CHADEMA
MASHA KUHAMA CCM
LULU KUHUKUMIWA JERA
MSIBA WA NDIKUMANA
dk shika ni noma sana wazee kwa sasa kabak akisikika peke yake kafunika watu wote nchin
Wasanii wanaogopa sana kutoa nyimbo kipindi hiki wakihofia uwepo wa dk shika
LONDON BABY