brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
Naombeni kufahani matokeo ya wanafunzi walio fanya mitihani ya QT yanatoka mwezi wa ngapi??
Hii anaijua msonde atakaye yatangazaSamahani naweza kufahamu tarehe???
35 tu. Ila kuipata ndio kaziWastani wa alama ambazo zitamfanya mtu kufaulu ni ngapi??? Namaanisha alama za kukutoa qt form one&two na kukupeleka mpaka form three & four??