Matokeo ya mechi ya (Simba vs Yanga) ya leo 25/02/3017, njia inayotumika kumpata mshindi.

Ngoja ntatuma njia ya kupata sare, kujua timu zitafungana au hazifungani, na njia ya magoli yapatikane zaidi ya magoli mawili au 2+
Mkuu mbona game ya chelsea na swansea inagomaaa.......namba zinakuja shufwa tuu
 
Nimefanya naona zote zipo sawa, napata upande mwingine witiri zote pengine shufwa zote.
Mi huwa napenda nikifanya nipate aina moja ya namba mfano timu moja namba nzuri na ingine namba mbaya.
Kama leo nimeona Tottenham anashinda
 
Tottenham nae kashinda. Pia kwa njia hii hii naona barcelona anashinda
 
Kwa njia hii hii Roma nae kashinda. Tupia mechi yoyote ya leo alafu nikupe mshindi chap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom