shemshashu
Member
- Jan 14, 2017
- 40
- 29
Kuwa na subra soon yatatoka
Yaani Mwanafunzi huyu kweli ni mchovu wa kufikiria, yaani matokeo yako unaulizia huku JF, Ur not serious.Eti matokeo ya kidato cha NNE yanatoka lini
Yaani matokeo ya Form Four unaulizia huku, nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
Bado dogo,yakiwa tayari utayasikia vyombo vya habariSamahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
UsijalMbona mbal huko
Uliona na kusikia wapi matokeo ya kidato cha nne mwezi huuSamahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai