Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,326
- 11,173
St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
St Mary? What? Can't be!
St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
damn,nimeangalia kwa makini zile shule ambazo matokeo yake ni mazuri kwa miaka mingi ndio zile zile tuu zinazoendelea kutoa matokeo mazuri na zile za kufeli ni zile zile tuu,naona culture ya kufeli na kufaulu ni ile ile tuu na sijaona turnaround yeyote kwa sample niliyochukua...ila big up kwa vijana wangu wa mzumbe na mzizima naona wanaendeleza,na vipi jamaa wa website yaani wanaweka matokea utafikiri wanabadika ubaoni yaani hakuna details zozote na wala huwezi kutafuta shule unayotaka kirahisi au jina la mtu huwezi just search yaani it can take you forever kutafuta matokeo,jamani its time watu wafanye kazi sio kulipua lipua huku wakilipwa ...inaboa sana!
Siku hizi Waschana wanakuja juu kweli!
Yet ktk Vyuo Vikuu less than 25% ni wanawake!
Si unajua tena,
...wanafukuzwa shule kwa mimba wanazopewa na wanaume
...wengine wanaolewa na majukumu yanawazidi
...wanawake wengi ndio 'primary' katika shughuli za nyumbani, saa ngapi wataenda shule...?
...wanawake wengine wanaogopa kwenda shule maana wanahofia kutopata waume, kwa hofu ya kusoma kuliko wanaume(believe me, hii myth bado ipo very much at large)
...wapo waume wengine wanawasisitiza kinamama waache shule, ili watunze watoto, kina bibi, ng'ombe, you name it.
Mzalendohalisi, sitaki kuleta mtafaruku hapa, ila, the Logic is so simple. Often times, kama huna elimu, utategemea mwanaume/mume kwa ushauri, matunzo n.k , na utaendelea kukaa kwenye ndoa hata ukiletewa mke wa tatu. Mwanaume ndio anayefanya maamuzi yote ndani ya nyumba. Utamaduni wa mwafrika pia umetufundisha haya.
Katika dunia ya leo, mambo yamebadilika, kina mama walioelimika, wana-tend kuwa na sauti, na ukiwa na sauti ndani ya nyumba, mnakuwa mafahali wawili, namna hiyo hamuwezi, au itawawia ugumu kukaa zizi moja. Ndio maana waona wakina mama walioenda shule, wengi wao wameachana na wanaume zao kwa sababu kama hizo. Kuna walioweza kuvuka hii-challenge, ila wengi wetu na kwa weakness za binaadamu, wameshindwa kuvumilia, hivyo ndoa kuzivunja.
Kisura, nikubaliane na wewe katika hili....ninachoona mimi ni kuwa bado suala la kuona kuwa unaweza kuelimika kama mwanamke hadi kuwa profesa na bado ukaendeela kuwa 'mwanamke' linawashinda wengi...pamoja na udhaifu wa kawaida wa kibinadamu, nilitegemea pia elimu iwasaidie kuepuka peer pressure ambayo pia inachangia kuvunjika kwa ndoa za kisomi in the pretext ya mafahali wawili.....
Lakini bravo kwa wale wote ambao wako na waume zao kama wanawake na sio 'wanaume'

Ama kweli wewe ni mzee tena wa kijijini. Nani aliyekwambia kuwa st. Marys wanaongoza?
Ama kweli sisi wazee wa vijijini tunapuuzwa.Hivi mtu wa mjini ndio mwerevu siku zote?
Jamani kuwa mjini si kujua kila kitu sana sana ni kuendekeza ufisadi tu,pia jitahidi kuheshimu wazee maana pamoja na wewe kuwa mjini baba yako au babu yako yuko kijijini na ndio aliyokupa haya maarifa unayotumia kumdhihaki.
Mzee Mwanakijiji nafikiri amekusikia maana nae umemlenga