Matokeo mabaya kidato cha nne shule za umma serikali yaibuka na kituko kingne

Pale wizarani pamejaa maprofesa tu siku hizi kuanzia waziri mwenyewe, manaibu Katibu wakuu, na wakurugenzi. Ngoja tuone output.
mkuu maprofesa wa Tanzania hawa kama akina Sifuni Mchome aliyeleta Dv 5 ? hamna kitu , labda kama wanaweza kufundisha tu , lakini haya mengine ni sifuri .
 
imeelezwa kua kufanya vibaya ktk matokeo mbalimbali ya mitihani ukiwemo wa kidato cha nne kwa shule za umma kunasababishwa na shule binafsi kuwanunua waalimu wazuri ambao serikali imewasomesha na kuwaandaa kwa gharama kubwa taarifa hiyo imeeleza kua shule hizo za binafsi zimekua zikiwachukua waalimu wazuri na kuwalipa ujira mkubwa kuliko ule wanaopata wakiwa serikalini hivyo kufanya serikali kupungukiwa na waalimu wazuri source gazeti moja leo ni wakati wa kujiuliza hivi serikali ipo serious na elimu yetu kweli!?
Waliwaandaa lini aowaalimu
 
Unaposema mwalimu mzuri unatumia kigezo gani?maana wote wamehitimu ualimu
 
Back
Top Bottom