Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Tumechoka na mambo haya afadhali kusiwe na uchaguzi kabisa maana kuna fraudness kibao huko. Am getting sick with all things about this election man
Turn out ni ndogo chini ya 40%. Matokeo yote yatapatikana kabla ya saa 2 usiku huu.
Nimepitia vituo vingine vitatu vya vijijini upande wa kabila la Wasubi, Chadema ni fumika bovu!, imeigaragaza CCMM kwa marjin kubwa.
Wakati tukiendelea kusubiri matokeo, kiongozi mwingine wa Chadema kamwagiwa kemikali, na gari la Chadema lapata ajali, viongozi wake wawili wa Biharamulo, wamejeruhiwa, wote wako hospital ya Biharamulo.
Mbowe, Dr. Slaa, Zitto na viongozi wengine wako hapo hospital.
Sio tetesi ni trend, matokeo yaliyopatikana ni ya town tuu, ya vijijini yanashuka kwenye vyama vyenyewe.Sasa wewe Pasco?? unasema CHadema wanaongoza mijini haya ya vijijini yako wapi?? umeyapata tayari au ni tetesi tu??
Umeshatoa mchango wa usafiri au unaandika hapa JF operation inahaitaji fedha changia kabla mafisadi hawajaiteka halafu tutoke "kwa fisadi A twende kwa fisadi B" fikiriChadema,
Mkitoka Biharamulo endeleeni na "Operesheni Sangara" vijijini Mkoa wote wa Kagera. Halafu mikoa mingine yote Tz bara. Hakuna kulala, mpaka mafisadi na chama chao wang'oke. Dhuluma, ubadhirifu ziiiiiiii 2010.
Sio tetesi ni trend, matokeo yaliyopatikana ni ya town tuu, ya vijijini yanashuka kwenye vyama vyenyewe.
Ila taarifa nilizonazo sasa ni kuwa Chadema wanazidi kufunika vijijini. Samahani sijaweza kuweka data za idadi ya kura kwa sababu hiyo ni kazi ya waandishi wa habari.
Umeshatoa mchango wa usafiri au unaandika hapa JF operation inahaitaji fedha changia kabla mafisadi hawajaiteka halafu tutoke "kwa fisadi A twende kwa fisadi B" fikiri
Tunakuamini sana Ndugu yetu Pasco, hivyo wewe huru katika kutoa mawazo na hata matokeo ya huko. Mimi naona trends zako za mwanzo zilikuwa kama zile za busanda na sasa ndio unaanza kutoa matokeo huru yasio na bias kwa yoyote yule. Tunahitahi kujua na kuona demokrasi inafanya kweli kule biharamuloNimepitia vituo vingine vitatu vya vijijini upande wa kabila la Wasubi, Chadema ni fumika bovu!, imeigaragaza CCMM kwa marjin kubwa.
Kati ya Kata 7, za Biharamulo, Chadema inaongozo kata 4, tatu matokeo hayajajumlishwa.