Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,086
- 724
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali) wakati wa makabidhiano ya ofisi ambayo yamefanyika Juni 26, 2024 katika ofisi ya idara hiyo jijini Dodoma.
====
Pia soma: Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba