Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 1,402
- 2,737
5+5(10)x2=105Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Very wrong, jibu ni 43 kama sitakoseaSwali la kwanza jibu ni 20
20
La kwanza 40...Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
No wayLa kwanza 40...
Hapo mwisho ndo kwenye mtego, njiwa ametupia snicker 😂a+a+a = 30
b+b+a = 20
c+c+b = 13
Mwisho unatafuta jibu
a+b×c =
Mtego huo hawajaona wengiHapo mwisho ndo kwenye mtego, njiwa ametupia snicker 😂
Na amebeba vibox viwili vya zabibuHapo mwisho ndo kwenye mtego, njiwa ametupia snicker 😂