gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,620
- 5,999
Pole sana,kakuangushaLishoga hilo
Pole sana,kakuangushaLishoga hilo
Unajuaje kama hataruhusu?Niliona hili tukio nikashtuka sana, nikadhani pengine nimeona vibaya hadi niliporudia tena.
Hii inaonesha jinsi gani Hamas wana utu, ningependa kusikia zaidi kutoka kwa hao mateka wanaoachiwa na Hamas maisha yao yalikuwaje huko mafichoni?
Ila ndio Netanyahu hatokaa aruhusu waongee.
Sijawahi kuwategemea hao Ashkenazi, hao wanawafanganya mazuzumagic.Pole sana,kakuangusha
Kwanini unajiona unastahili kunyongwa?Pole sana,kakuangusha
Awa HAMAS ni Binadam ISRAEL mtoa rohoo sio Watu wale mishetani ile!!! Wapelestina Mateka zaid ya w3 Wamechukuliwa GAZA wazima!!Mzuka wana jamvi...
Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356

Yule masikio upawa kimbelembele kuongea kwenye media simpendi kinyama nae sijui Taifa gani .Viongozi wa serikali ya Israel iliyopo na asili ya wazazi wao.
View attachment 3245415
Morocco
View attachment 3245418
Morocco
View attachment 3245419
Morocco
View attachment 3245421
Morocco
View attachment 3245423
Iraq (huyu ana msimamo mkali, Netanyahu afadhali) ni far right. Ikibidi hata Gaza yote ifutwe kwa mtazamo wake.
View attachment 3245426
Tunisia
View attachment 3245428
Morocco
View attachment 3245429
Morocco
View attachment 3245430
Ukraine
View attachment 3245431
Serbia
View attachment 3245432
Poland
View attachment 3245433
Ireland
View attachment 3245434
Poland
Sasa wewe mwafrica kweli unaelewa kweli hizi siasa na kipi hasa Jews wanachopigania (ideology yao).
Hizo ni tuhuma zako tu.Lishoga hilo
Hamas Wana utu gani WA kufata watu majumbani mwao na kuwaua na kuteka wengine?Niliona hili tukio nikashtuka sana, nikadhani pengine nimeona vibaya hadi niliporudia tena.
Hii inaonesha jinsi gani Hamas wana utu, ningependa kusikia zaidi kutoka kwa hao mateka wanaoachiwa na Hamas maisha yao yalikuwaje huko mafichoni?
Ila ndio Netanyahu hatokaa aruhusu waongee.
Mbona walishakataza tokea mateka wa kwanza kabisa kuachiwa?Unajuaje kama hataruhusu?
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!Lishoga hilo
Kwa mujibu wa kitengo cha habari cha shirika la kijajusi MOSSAD wanasema Omar Shem Tov alisema alishurutishwa na Hamas kufanya hivyo kama sehemu ya propaganda.Mzuka wana jamvi...
Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Duh hapo kumbe ni hatari sikuwa na taarifaMbona walishakataza tokea mateka wa kwanza kabisa kuachiwa?
Walikatazwa hata kushare chochote kwenye mitandao bila ruhusa yao, hufuatilii kwa ukaribu?
Duh! Kumbe Israel ina Rais.Viongozi wa serikali ya Israel iliyopo na asili ya wazazi wao.
View attachment 3245415
Morocco
View attachment 3245418
Morocco
View attachment 3245419
Morocco
View attachment 3245421
Morocco
View attachment 3245423
Iraq (huyu ana msimamo mkali, Netanyahu afadhali) ni far right. Ikibidi hata Gaza yote ifutwe kwa mtazamo wake.
View attachment 3245426
Tunisia
View attachment 3245428
Morocco
View attachment 3245429
Morocco
View attachment 3245430
Ukraine
View attachment 3245431
Serbia
View attachment 3245432
Poland
View attachment 3245433
Ireland
View attachment 3245434
Poland
Sasa wewe mwafrica kweli unaelewa kweli hizi siasa na kipi hasa Jews wanachopigania (ideology yao).
Wakati nafungua hii akaunti nilikua na njaa kali,nlitamani kujinyongaKwanini unajiona unastahili kunyongwa?