Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

Ghayo TheMongo Barbarian

JF-Expert Member
Oct 27, 2024
229
458
Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.
IMG_20250222_153803.jpg
 
Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Niliona hili tukio nikashtuka sana, nikadhani pengine nimeona vibaya hadi niliporudia tena.

Hii inaonesha jinsi gani Hamas wana utu, ningependa kusikia zaidi kutoka kwa hao mateka wanaoachiwa na Hamas maisha yao yalikuwaje huko mafichoni?
Ila ndio Netanyahu hatokaa aruhusu waongee.
 
Back
Top Bottom