Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 4,118
- 7,389
Matapeli wa telegram walivyogonga Mwamba kunitapeli
Walinicheki na kazi ya kutoa review kwenye hotel za Dar google map ,
Wakaniuliza , jina, umri na occupation (Alert)
nikawajibu . Kanitumia hizo link tatu nikarate , kanirushia Pesa ya malipo ya hizo nilizo rate .
Baada ya hapo akaniderect kwa profile nyingine kuwa niwasilianw nae anipe kazi za siku iliyofuata
Nikamcheki ,akaniambia angenitumia hizo kazi na malipo ni 40000+ 40000 bonus daily kama nitamaliza task zote bila kuruka hata moja (Alert)
Akaniambia nijiunge kwenye group lao ambalo alinitumia link lilikuwa na member zaidi ya 300 na active kama 90 sometime mpaka 120. Lakini kwenye hilo group akasema member wapya wamezuiwa kutuma chochote na nikweli (Alert)
Huko kwenye group ndio walikuwa wanatuma hizo task. Unatakiwa kuingia ku rate kwenye hotels google map afu una screenshot unawatumia task zipo 22.
Wakatuma yakwanza niakarate , bei ilikuwa ni kwa 4000 per task , yapili, ya tatu, yanne malipo walisema yanatuma baada ya hizo task kumalizika na almost walikuwa wanatuma 2-3 per hour.
Kabla ya hapo wakatuma ujumbe kuwa kama hutamaliza task zote hutolipwa bonus.
Wakatuma nyingine kama uta skip task bei itapunguzwa kutoka 4000 mpaka 800 (Alert)
Wakatuma ya tano sasa wakasema unatuma kiasi cha pesa kuanzia 30000 hadi milioni 2 afu wana I double utarudishiwa ndani ya dakika 10 lengo la kufanya hivyo ni et ili advertisers aweze kuongeza mfumo wa malipo kutokana na transaction hizo (Alert )
Baada ya hapo unaona watu wanatuma screnshot kwenye group walivyofanya miamala lakini mimi hapo siwezi kkupost maana new member wamezuiwa kupost
Mimi kwakuwa nshawasoma sikutuma nikasubiri kwasabau walisema kuna task nyingine poa , wakatuma tena task za kurate nikaenda kurate fresh, 6, 7,8, yakumi wakatuma tena task ya unatuma pesa wanakurudishia ndani ya dk 10 unaona members wanatuma tu screenshot kwenye group walizotuma
Baada ya muda wanaanza kutuma screenshot walizopokea , nikatulia wakatuka task 11 kurate kama kawaida, 12, kurate kama kawaida 15 ikarudi tena yakutuma pesa wanakuongezea , sreenshot zinatumwa na member ambao niligundua niwao kwa wao na kwavile mimi siwezi kupost unatulia tu ,
Wakaendelea na mchezo huo , task za kawaida na hiyo moja moja ya transaction ambayo nilikuwa na ikwepa zingine nafanya fresh , sasa zikaisha nikamuuliza malipo akasema kwakuwa nilikuwa na skip hawatanilipa kwakuwa sikuwa sirias na kazi hivyo kesho yake natakiwa kuto skip hata moja ili nilipwe ya leo na kesho yake 😂 wakati walishasema uki skip inapunguzwa kwakuwa nishajua lengo , alikuwa anatumia English , ila English ya kibongo sinaijua😆 nikamwambia ila mkuu huu utapeli niwakijanja sana akaniblock . Hapo walifikiri hayo malipo waliyonitangulizia kwamba namimi ningefanya hiyo task ya kutuma pesa kuanzia 30000 ili nipate zaidi 😆 napia wangeweza kurudisha hiyo 60k ili nipande dau halafu wa mute😂