Matajiri ambao ni Maadui wa Magufuli ni wengi kiasi hiki?

Acha ukuda wapo wengi
 
Zipi hizo drastically measures?Za kufunga Wapinzani kwa kesi uchwara au zakuwafutia kesi wabunge wa CCM walioomba Rushwa??Nchi ya Vi-wonder,mbaazi zikikosa jua zinasingizia jua
Sasa kama zimekosa jua unataka zisingizie nini?
 
Kwani mkuu ulikuwa hujui jinsi nchi ilivyogeuzwa ya wapigadili? Wauza unga, wakwepa kodi, vibaka, majambazi, wazee wa 10%, wote hao unadhani wanafurahia hizi drastic measures anazochukua mkuu??
Hao wapiga Dili wamekuwa wakulima wakubwa. Hawataki hata kusikia cha nje. Wanajua watakachozalisha hakitakutana na flooded market. Hao wata win. Wana maji, mashine na wataalamu at their beck and call.
 
Kama una akili za kizalendo ulipaswa umuunge mkono rais, kwani mafisi wanazilipia propaganda ili waliibie taifa. Sasa ni either uungane na mafisi au uungane na wazalendo
 
umewauliza.matajiri mkuu ?
 

Kabla ya kuanza kuuliza labda anza kwakujiuliza haya maswali, kuna watanzania wangapi wapo na leseni ya biashara ya sukari either kununua jumla kutoka kiwandani ama kuagiza? GDP yetu ni %ngapi ya watanzania ndiyo wapo kwenye percentile ya juu yaani rich na njia kuu za uchumi zimeshikiliwa na watanzania % ngapi?....ukishajua hayo utagundua kuwa siyo kazi rahisi sana kuwahimili watu wa jinsi hiyo hasa kama unagusa maslahi yao....Na hasa kama pia ndiyo wapo kwenye decisions making positions... Tum support Mh. Rais turudishe nchi kwenye stari...
 

So Rais hao watu ndo anashindwa kuwahimili? hadi sisi wote tum support ndo ataweza kuwahimili?
 
TMA walisema kutakuwa na ukame na tayari tunashuhudia kukosekana kwa mvua lakini Mkulu anasema hakuna ukame.Hivi vihoja ,utazani sisi tunaishi ughaibuni alafu Mkulu (anayetubishia) ndiye yupo Tanzania .Kwa hiyo yeye anataarifa sahihi sisi tunahadithiwa uongo
 
Tumsuport vipi wakati hataki kukubali kuwa kuna tatizo?Unawezaje kumsuport mtu anayesema hakuna njaa tz ilihali wewe unanunua kilo moja ya sembe 1700.Sasa tumsuport kufanyaje? Huyu sio mwenzetu maana shida zetu sio zake km vp kila mtu afanye yake
 
kwahyo.hata Wewe mpumbavu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…