Acha ukuda wapo wengiNimesikia leo Rais Magufuli anasema kuna 'matajiri' wanahonga magazeti
ili yaandike habari za njaa wakati hakuna njaa..
Najiuliza maadui wa Magufuli wako wengi kiasi hiki?
Kwenye sukari tuliambiwa kuna matajiri wanaficha
karibu kila tatizo utaambiwa kuna 'watu fulani' wako nyuma ya hilo tatizo
kumkwamisha Rais.....
Je wakishamkwamisha wanapata faida gani?
je ni kweli hawa watu wapo kweli?
what if ni 'imaginary enemies'?
Rais hana nguvu ya kuwashughulikia kama wapo?