ukipita namanga unakuja moja kwa moja, msasani kanisani, unanyosha moja kwa moja utakuta kuna jengo limeandikiwa Bongo Kids hapo hapo umefika.Poah. Kituo cha macho ndio kiko wapi?
mi najua kwa Passo 175/70R14 au 165/70R14 ndio inafunga.Nataka tyre size 15 natumia kwenye passo yangu izo specification nyingine sijui ila nnachojua passo yangu natumia matyre makubwa kuliko yale ya passo niambie ni sh ngapi?
2.8d R15 - hio size inanipa shida kuiona kwenye stock. niambie hio tairi unalitumia kwenye gari gani?? ili iwe rahisi kwangu kujua tyre size.
Ok kwa gari yako 2.8D. Umesema Rim size 15. Aya Nakuupa size ambazo tunazo stock na bei zake kwa rim size 15 tu.Uliuliza aina ya gari ninalotumia nikakujibu ni 2.8 D na saizi ya rim ni 15 nikakuambia nipe bei ya zote ulizo nazo nami nitajipima kutokana na kiu yangu ya upana wake. Rim zangu ni Sports.
hapa tunauza matairi ya magari. kama unatafuta matairi ya pikipiki, njoo ofisini kwetu Quality Motors ltd Tazara au nenda kariakoo maduka ya mchina wanapouza spea za pikipiki utapata.D
za pikipiki unazo??
205/55R17- Hio hatuna mkuu. na mashaka na hio size uliosema hebu icheki vizuri kisha uniambie kama ni size hio hio ndio unayotumia basi kwetu haipo.Mkuu mleta mada size hii bei gani?
205/55/R17
Mkuu, Hizi tairi bado zipo? Na X TRAIL INATUMIA SIZE GANI? MAX NA MIN SIZE? KAMA NIKINUNUA NNE KUNA DISCOUNT?Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.
Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.
Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.
Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)
Tunapatikana dar es salaam katika duka la msasani, kituo cha macho.
Piga simu - 07171518359, 0689866100.
Afsa mauzo. Quality motors ltd.
View attachment 355188
Nissan xtrail inatumia size tofauti tofauti, kuna nissan xtrail zinatumia matairi ya size 215/70R15, 215/65R16, 215/60R17 225/55R17. Sasa ungeniambia kwa gari yako inatumia size gani ya tairi, naona ingekuwa vyema zaidi nipe namba yako simu ili nikutafute nikupe bei za tairi au nipigie 0689866100, 0717518359.Mkuu, Hizi tairi bado zipo? Na X TRAIL INATUMIA SIZE GANI? MAX NA MIN SIZE? KAMA NIKINUNUA NNE KUNA DISCOUNT?
hizo stock yake zimetuishia, tunasubiri stock mpya.Mkuu 195/60/R16 ntapata? Gari ni IST New model
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.
Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.
Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.
Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)
Tunapatikana dar es salaam katika duka la msasani, kituo cha macho.
Piga simu - 07171518359, 0689866100.
Afsa mauzo. Quality motors ltd.
View attachment 355188