Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

We si kibaraka, hujiamini au ni njaa inakusumbua, wewe ni mtu hatari! Nape anajiamini, Rais siyo Mungu ni mtu kama wewe na mimi, tumempa nafasi awe kiongozi wetu maana wote hatuwezi kuwa viongozi, siyo Mungu. All MEN are fallible, NO MAN is infallible!
Mbona povu sana?

Mleta mada alitulia akatunga maswali sasa wewe mbona unakuja mbio mbio na maneno ya akina mama wa uswahilini?
Tulia nawewe ili ulete majibu kama una imani na Nape Nnauye
 
1. Hakumsapoti kwa sababu alijua ni vita feki ya kujitaftia umaarufu bila kufuata sheria.
2. Kama hiyo serikali iliviona vijembe vyake kupitia twitter, hata ushauri wangeuona pia.
3. Boss asieshaurika sio tu wa kudharauliwa, hafai hata kua kiongozi.
4. Elimu na mila no mafuta na maji. Kamwe havichangamani.
5. Sio vijembe, ni ukweli ambao hampendi kuusikia. Na ukweli ndio uliosababisha mkamvua uwaziri.
6. Kwa akili yako, MTU akifanya unalolipenda anakua sahihi, ila akifanya usilolipenda amekurupuka. Hakuna MTU mwenye akili timamu anaeweza kuunga mkono vita ya kisanii.
7. Unauliza Kama aliutaarifu uongozi kabla ya kuunda time, ila Una conclude kua Kama hakutaarifu ni utovu wa nidhamu. Hii inaonyesha how negative minded you are!
8. Kuisoma ripoti mbele ya waandishi sio kutoa maamuzi. Alaf mshazoea kuficha uozo, yeye kawaumbua lazima mumuone mbaya. Mbona hukuhoji wakati bashite anaita watuhumiwa kwenye vyombo vya habari.
9. Hutaki MTU aundiwe tume, eti aitwe ofisini kushauriana. Nani mwenye akili atakaa meza moja kushauriana na daudi?
10. Mchango wa nape kwa CCM no Kama mchango wa messi kwa Barcelona. Kila MTU anaujua, sio lazima messi aje kuchezea mbao fc ndo athibitishe kua Ana mchango mkubwa.

Napenda kukutaarifu kua nimejitahidi Sana kujizuia kukutukana.

Wasalimie lumumba
 
... tudefine KUDHIHAKI, then from there we can argue if the president is mocked (anadhihakiwa)... all in all, nadhani kumwambia mtu ukweli siyo kumdhihaki labda the way unavyomwambia mtu...!

Retired: umetumia neno moja la kiingereza "to mock" ambalo kwa uhakika linagusa kinachoendelea kwa sasa nchini kwenye ulingo wa siasa.

Neno "to mock" tafsiri isiyo rasmi ni kukebehi au kudhihaki kwa maana mlengwa ni mtu wa hovyo kwa mizania ya yule mlengaji. Iwapo mlengwa au mtendwa akiwa na madaraka, ni utovu wa nidhamu wa mtenda. Kwa mtu wa kawaida ni dharau. Amevunjiwa heshima.

Kama ulivyodokeza ni
"the way unavyomwambia mtu", ndiyo msingi wa kudhihaki (kuchukiza) kwa sababu ya maneno au lugha iliyotumiwa ni kebehi.

Nisingependa kurudia maneno au lugha anayotumia Nape kujitetea au kujibu suala la kuenguliwa katika nafasi ya Uwaziri. Wanaomtetea wanadai anajiamini au anasema ukweli. Wote wako sahihi kwa sababu hawaambiwi wao hayo maneno ya dharau
 
Unaweza ukawa sawa, the way unavyomwambia mtu aliyekosea. Nakubali. LAKINI, maneno kama aliyoyasema kagera, were quite derogatory provocative etc... nakubali baba nyumbani akisema "hovyo" humwambii kuwa baba umesema hovyo! Lakini huyu ni public figure, a very big figure with responsibility over 55 million people. Usiwaprovoke watu!
 
ujani shawishi bado kukuerewa kaa ufikirie upya
wewe acha ubashite wako huko wa kubeba wasanii waliopitwa na wakati unazunguka nao huku ukimpotosha Rais wetu asihudhurie mazishi ya kitaifa ya askari wetu waliokufaa kishujaa wakiwa kazini halafu mmekaa kucheka cheka na wasanii wachovu. mmetia aibu kweli, ingekuwa JK angekwenda kushiriki msiba huu mkubwa wa kitaifa.
 
Swali ni moja tuu apo ayo mengine ni porojo...swali ni Je,anaamini kabisa kwamba Rais anamudu kaziyake?
au anamstahi na kujilindia kulayake chamani.
 
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Waliokutuma hawajakosea;

Maana unawakilisha vema.

Hatutaki siasa, tunataka vitendo.

Nape aendeleze siasa na Treni itazidi kumuacha.
 
Hana ubavu wa kujibu maswali hayo kwake ni magumu mno!!
 
Maswali mazuri sana, Nape alilewa madaraka. Anatafuta public sympathy na support, kwani hayo yote anayolalamikia hakuyaona hapo kabla?
Hivi ile MA yake hawezi kukaa akaitumia kuandaa kitabu cha kuisaidia jamii kweli!? Anaweza.
 
Unaweza ukawa sawa, the way unavyomwambia mtu aliyekosea. Nakubali. LAKINI, maneno kama aliyoyasema kagera, were quite derogatory provocative etc... nakubali baba nyumbani akisema "hovyo" humwambii kuwa baba umesema hovyo! Lakini huyu ni public figure, a very big figure with responsibility over 55 million people. Usiwaprovoke watu!
Kwa kuwa mada inamuhusu Nape, naomba tusimzungumzie mtu mwingine.

Mwenye busara hafanyi kujibu kwa lugha ile ile kwa sababu tu mtu fulani katumia hivyo.
 
6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE
Una mapenzi mubashara na Bashite,kwamba huna hakika kama aliyevamia clouds tv ni Bashite na jeshi lake?? uko wapi wewe katika nchi hii tv hupati na simu yako haina uwezo wa kuona youtube nini kiliendelea??
 
Back
Top Bottom