GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,922
- 122,034
1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo?
2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu?
3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza kutupa Ushahidi wa huko CAS walikoenda?
Ninachokukubali Saleh Jembe (ukiacha kuwa Wewe ni mmoja wa Role Models) wangu na Kaka yangu katika Uandishi wa Habari za Michezo na Uchambuzi tokea nikiwa Masomoni ni kwamba japo ni mwana Simba SC 100% ila huwa huna UNAFIKI wala UPENDELEO kwani Simba yako wakilikoroga / wakiharibu huwa UNAWASEMA bila UWOGA wala AIBU na Yanga nao wakipatia huwa HUACHI Kuwapongeza japo najua kwa sasa wana Yanga SC wote ambao ulikuwa UKIWAPONGEZA mno hadi KUCHUKIWA na Mashabiki wa Simba SC watakugeuka na KUKUTUKANA na hata KUKUCHUKIA.
Hata hivyo Kaka yangu Saleh Jembe usijali sana kwani hata Mimi mdogo wako GENTAMYCINE nayapitia hayo hayo hapa JamiiForums kwani japokuwa Mimi ni mwana Simba SC kama Wewe (na hili silifichi) ila nikiwasema Simba SC nachukiwa na kuambiwa ni Yanga SC na pia Siku nikiwasifia Yanga SC watakuja Kunisifia hapa ila nikiwasiliba / nikiwakaanga tu kama Wakikengeuka / Wakikosea ghafla hunigeuka na Kunitusi na Kunichukia kwa kila maneno.
Tanzania ya leo ukiwa ni MKWELI, MUWAZI na haupendi UNAFIKI wala KUJIPENDEKEZA kwa Wapumbavu utachukiwa sana.