Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,457
- 139,810
Hiyo ndo shida ya MA ED ila ntaisoma tu hivo hivoBinafsi simshauri kabisaaaa huko kwenye education,kwa sababu hata akiisoma kama yupo serikalini haitaongeza kitu,atasubiria daraja,wakat baadhi ya kada akirud na masters na stories zinabadilika hapo kazini,promotion fasta.
Ndo maana rais na waziri mkuu waliachana na ualim.
Ualim miyeyusho sana,daraja waweza pandishwa leo,ila mshahara ukausubiri hata miaka mitano.
Nilipata MA EDU na MA dev maganement nikaona nikasome hyo ya Development Management walau naweza kujiajiri nikiwa na laptop yangu chumbanj,UALIM yatosha