Master J na Shaa kufunga ndoa

Duh, 'msichana'
Kweli shaa ni 'msichana' jamani hadi sasa.?!

Maana ya neno 'msichana' ni nini haswa.?!

swali zuri sana

Msichana ni kijana mdogo wa kike mwenye mwili wa kitoto ambaye hajakomaa na yupo katika umri wa kati ya miaka kuanzia 10-16
 
Mliosoma kitabu cha Shaban Robert alikaa uchumba na Bi Amina kwa miaka 10.
 
Uchumba wa zamani tofauti mama, enzi hizo wachumba utakuta Muda huo 10 years hata kushikana hawajawahi, enzi hizi hadi mtu kukuita mchumba ha ha ha ha styles zote mmemaliza hadi za Google zoote Hakuna mpya, miaka kumi ni mingi mno
Noted mkuu.
 
wale mabinti wa master j watamwitaje shaa dada au mama? maana wako sawa naye tu
 
Mpaka Masta kachukua maamuzi kama hayo, hapo Shaa atakuwa amefunga na kuomba mpaka kapata na vidonda vya tumbo... Hongera Master, leo nimeona dala dala limeandikwa Master J No 9. I hope una kazizi ka madala dala, so hata mziki ukibuma, maisha yanasonga.
 
Daaaah! Master kumbe alikuwa anazini tu miaka yoteeee? Kweli duniani mapambano!
 
Kuna unayoyajua ambayo hatuyafahamu? No body is perfect akiwa Mrs ataacha.
Labda mabaya anayoyajua ya shaa kwa master Jay ndo faraja na amani kwake!!! Washauri huwa wanapoteza muda tu kama penzi ni la kweli
 
Bora waoane aisee maana ni miaka kibao sana hii couple inachimbana tu utafikiri wanachimba mahandaki..
 
Back
Top Bottom