Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

Kama magamba mmeamin huo utabir fanyen sherehe
Mbona mlimsifu sana alipowekaga katuni ya JPM na Lowasa wanapigana ulingoni alafu Slaa akawa anapenya kwa pembeni na kisu?? Mlifagilia sana kile kikatuni. Na hii muikubali tu, hamna jinsi.
 
Inawezekana lakini hatujui kwa nini gari alilochora lielekee kulia mwa picha ,hayo ni maono yake vipi kama baada ya siku kadhaa picha ikageuka clockwise -unahisi nini kitatokea.Mawazo mgando ni hatari kwani siku hazigandi.
Mkuu uchumia tumbo unawamaliza sana waandishi wa aina ya kipanya
 
anatafuta ukuu wa wilaya kama mwezie wa pale itv anajiita sam maela........hila tuwaombee labda magu atawakumbuka
 
Tatizo LA watanzania hawana jawabu LA chanzo ncha matatizo yako!.
Kama katuni INA maana ya kisiasa ili takiwa iwe

ccm Na Tanzania siyo chadema au Ukawa!!

Hivi Hamuonib magufuyfuli alishashindwa kabla hajaanza !!
Hilo kwa mwana ccm ni usaliti wa hali ya juu mkuu maana wamefungwa nira kwenye akili zao
 
Hiyo ndio dawa yao hao magamba maana bila hivyo angechafua hali ya hewa na ukimchekea mbwa utaingia naye sehemu takatifu msikitini
Hahaha daah akianza mbwa ujue muda si mref nguruwe na yy atatamani kuingia msikitini afu iwe balaa zaidi mkuu
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Kipanya ni mchumia tumbo wa muda mrefu sana , anajua sana kuwatumia viongozi ili kupiga hela , lakini nampa onyo kali sana , akitaka siasa apande jukwaani , na kuanzia sasa natangaza rasmi kuweka hadharani MAKANDOKANDO YOTE YA MAISHA PLUS , kama mmbwai ni mmbwahi tu.
 
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
Tatizo kubwa la wananchi si rushwa/ufisadi bali ni umaskini. Magu akiweza kuuondoa umaskini wa kipato basi wapinzani watakosa hoja, lakini umskini wa kutisha unaowakabili watanzania tulio wengi unazidi kuongezeka na pengo kubwa kati walionacho na wasionacho linazidi kuongezeka, hapo wapinzani watakosaje kick? magu sanasana amegusa sehemu ndogo ya wala rushwa wadogo, mapapa hayajaguswa na hawezi kuyagusa kwani yeye ni sehemu mfumo uliolea ufisadi na ujangili. Mwenyekiti wa ccm na katibu mkuu wa chama wote ni mafisadi na majangili, ataanzia wapi, hatudanganyiki
 
Nadhani bado Kipanya hakuchora kwa kuonesha hali hali. Nilidhani na ndio ukweli kuwa huo mlima unapaswa kuwa kama ukuta tena kama ule ulioitenganisha german mbili.
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Endapo umemuelewa vibaya KIPANYA itabidi ukamuombe msamaha kwa kupotosha umma na tafsiri yako hiyo.
 
Back
Top Bottom