samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,213
Nilichukua toto moja la kariakoo miaka ya 90, kuingia nalo gheto nikachukua funguo nikaweka kwenye mkoba wake.. nikalala kimachale nikaliona limezama kwenye jeans yangu likachukua mpunga wangu sasa balaa funguo haionekani huku na kule basi likachukua zile hela akachimbia kwenye tigo yake akarudi kulala, nikaamka usiku nikaomba game nikapewa asubuhi kumekucha sasa dah balaa maisha haya..........