GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,624
- Akaunti zake zote zimefungwa
- Mchapishaji wa Magazeti JAMANA PRINTERS kapigwa marufuku kuchapa gazeti la Jambo Leo. Gazeti halijaingia mtaani siku ya nne sasa.
- Watumishi wamekosa mishahara, waandishi wanahaha.
Kwa ujumla Quality Group ni kama imesimamisha shughuli zake
Chanzo: Watumishi wa QG
Hivi Jambo Leo ni Gazeti au ni Kijarida tu?
Wapi Kamarada Juma Pinto.........
Wapi Mhariri Mkuu.......
Wapi Waandishi wa Habari wa Jambo Leo.......
Kudadadeki tutaheshimiana sasa humu mitaani!