Mashitaka dhidi ya Paulo Makonda ni njama za mafisadi, wauza unga na wapinzani wapenda uovu aliowadhibiti wakati akiwa RC Dar es Salaam

Pasco ebu upandishe ule uzi makonda anafaa kuwa raisi baada ya magufuli tulinganishe wakati
 
Mtoa mada una akili fupi?? Unafkir wamarekan kumzuia kuingia kwao wao ni wajinga
Sio wajinga ila wanajua wanachofanya. Hii nchi iliunzwa.

Tuna Gesi, ila hatupati hata senti tano gesi yoyote. Nani amesaini huo mkataba.

Tunanunua gesi nchi za nje. Mpuuzu mmmoja aliiuza nchi kwa maslahi ya famililia yake.
 
Hao wauza unga na mafisadi mbona hamuwafungi kama wapo?

Ujinga peleka kwenye family yako na sio level ya kitaifa.
 
Kweli tupu mkuu 100% .

JamiiForums1930892305.jpg
 
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.

Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu.

Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio wanataka kupata kuungwa mkono na umma wa watanzania ili walipe kisasi chao.

Wananchi wa kawaida hawataki upuuzi kama huu.
unaokoteza vimada havina kichwa wala miguu🤣🤣🤣
 
Ndiyo maana ni gazeti moja tu la raia mwema linaloandika habari za Sabaya na Makonda.

#free Sabaya
Tulitarajia badala ya kuleta malalamiko Tanzanite tv, mzalendo, uhuru, Channel ten, habari leo, fahari, Dar leo ziwasafishe dhidi ya Raia mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom