mwajum
Member
- Feb 26, 2014
- 40
- 10
Tafadhali naomba msaada nataka kuagiza egg incubator kutoka China ila nataka kujua kama unatakiwa uwe na kibali kutoka wizara ya mifugo kwani product zingine za mifugo kama nyama. Ngozi mpaka upate kibali kutoka wizara husika hlf charges zingine kama TAX naomba kujuzwa iwapo mzigo ukishafika bandarini
umefkria kitu cha mana na umeona mbali hizi incubator za bongo ni shida