Tafadhali naomba msaada nataka kuagiza egg incubator kutoka China ila nataka kujua kama unatakiwa uwe na kibali kutoka wizara ya mifugo kwani product zingine za mifugo kama nyama. Ngozi mpaka upate kibali kutoka wizara husika hlf charges zingine kama TAX naomba kujuzwa iwapo mzigo ukishafika bandarini
nahitaji inayotumia mafuta ya taa ya mayai 150 Nitapata
Wasiliana nami kwa aina zote za incubator.malamsha shao;5492005]Incubator ya
kuangulia vifaranga 600 used na mpya bei yake vipi naomba mchango wenu
wana jf kwa wenye uzoefu ktk hilo na efficiency yake.
You're not serious. Mayai milioni mia moja?Ya mayai m100 bei gani?