Mashine ya Selcom iliyoungwa na NBC

Youngstunna

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
265
296
Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na nbc, muuzaji serious anitext inbox
 
Kwakukusaidia,Selcom imeunganishwa na bank zote tz ,kinachofanyika kwa sasa ni kua BOT wameunganishia system inaitwa TIPS hii miamala yote unayofanya lazima ipitie kwao.
Mfano Unatoa hela tigo pesa utaenda BOT then Selcom then unarejea kwa mtumiwaji so bank zote zipo zipo integrated from BOT.
 
Ahsante mkuu , sasa Mimi nahitaji hiyo selcom ambayo imewezeshwa huduma za nbc
 
Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na nbc, muuzaji serious anitext inbox
Najua unafanya miamala boss nina swali. Vip capital ya 4millions naweza kupata hizo mashine za bank. Nataka nianze uwakala na mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom