Hapana What
Senior Member
- Dec 24, 2017
- 119
- 47
- Thread starter
- #61
Nashkuru mkuukazi nzuri mkuu
Nashkuru mkuukazi nzuri mkuu
Bei gan kiongoziNa mashine ya kusaga plastic nitafutie mteja ipo Veterinary Temeke
Milion sita tuMashine ya kufagia mazulia
Bei gan kiongozi
Piacha zake nitumie kwa 0689 859167Milion sita tu
Mashine ya kuranda mbao
Wasiliana nasi kwa mahitaji
0689 859167
Nahitaji unitengenezee mashine ya kuchana mbao kama hy ntakupigia0689 859167
Mashine ya kusaga chakula cha kuku?Mashine tunatengeneza wenyewe ni
Mashine za kusaga plastict (plastic crusher)
Mashine za kukereza mbao
Mashine za spindle (panel)
Mashine za kuchana magogo
Mashine za kuranda mbao
Mashine za kuchanganya rangi
Mashine za kusaga chakula cha kuku
NK kutegemeana aina utakayo hitaji pia
Ndio boss (milling na mixer yake)Mashine ya kusaga chakula cha kuku?