Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

Uislamu na ugaidi wapi na wapi! Usome Uislamu acha uvivu

Umeshaambiwa wameshinda kesi👇
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Unamdanya nani asiyejua? Waislam Liberal kama wengi wa hapa Tanzania ndio waislamu wanaojielewa! Lakini ili utengeneze magaidi lazimi upitie mlango wa Uislam!
 
Mfano
Ukitaka kuwashinda kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Boko Haram pale Nigeria na kuwaondoa wote.

Kamata viongozi wakubwa na wadogo wa kiislamu pale Nigeria weka jela. Kwenye mabaraza yao yote kamata weka ndani hautasikia tena kuwepo kwa kundi lolote la kigaidi la kiislamu.
Hawa jamaa unatakiwa u-deal nao kama wanayofanya Israel kwa Hamas
Kwani Israel na hamasi nani gaidi?hili kujua ukweli kwanza uache ushabiki
 
Ukiona hivyo jua ni watu hatari sana kwa usalama wa nchi hii.
Kinacho nipendezesha ni kuwa walikamatwa kipindi cha utawala wa ndg yao ktkt Imani.
Na sasa hizi blah blah zinafanyika kipindi cha utawala wa ndg yao ktk imani.
Wewe mpumbavu tena mpumbavu tena akili unazo lakini ujui kuzitumia subili likukute upelekwe segerea bila hela utajua ukweli ulipo
 
Mpaka washikiliwe na vyombo vya usalama ina maana ni watu hatari sana, waendelee kushikiliwa mpaka nguvu za ugaidi wao ziishe
Unafuraha sana wenzako kukandamizwa miaka 10 ushahidi bado,,unajihesabia haki sababu ya imani yako lakini kwenye magereza wako wengi tu waimani yako wameshikiliwa tena kwa kubabikiziwa kesi na hao waimani yako,huu mfumo auangalii imani baba ukiingia 18 zao utajuta kuzaliwa kamuulize lissu walio mfanyia ugaidi ni dini gani?
 
Huku majizi yanayotajwa katika ripoti za CAG kila mwaka, yakilindwa na serikali hiyo hiyo inayoweka watu ndani kwa miaka 9 na kushindwa kuthibitisha tuhuma zinazowakabili.

Mimi ni Mkristo, lakini siwezi fumbia macho huu uonevu kwassbabu kesho inaweza kuwa zamu yangu kama sio ya wachungaji ama maadkofu, ingawa hizi dini siku hizi nazo zimekuwa ni miyeyusho na hutumika kama vitega uchumi vya viongozi wa kidini .
 
Unamdanya nani asiyejua? Waislam Liberal kama wengi wa hapa Tanzania ndio waislamu wanaojielewa! Lakini ili utengeneze magaidi lazimi upitie mlango wa Uislam!

Dada hujui unachokiongea, narudia tena usome Uislamu upate kujua, acha kukaririshwa
 
Yani kuna watu chuki zimewajaa vifuani dhidi ya Uisilamu na waislamu kwa ujumla.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Uislamu na ugaidi wapi na wapi! Usome Uislamu acha uvivu

Umeshaambiwa wameshinda kesi👇
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Kwa elimu ya madrasa lazima uamini kilichoandikwa na shida ya maimamu kwa sababu akili na elimu mnalingana.

Hapo hati ya mashtaka inarekebishwa tu, na siyo hao masheikh tu, hilo linafanyika kwa wengi, ukitaka kuwaweza Polisi unapoachiwa huru kwa kifungu hicho timka mbio usukamatwe ukifanikiwa ndio imetoka hiyo.

Kuna sheria inamtaka DPP awe amekamilisha uchunguzi katika kipindi Fulani, akishindwa court inamuachia huru mtuhumiwa yeyote na Polisi wanakuwa wameandaliwa ukiachiwa unakamatwa tena una anza nao upya Polisi unaletwa tena mahakamani kwa hati mpya.

Hili haliwahudu Waislamu, hili ni la Watanzania wote, unapopinga dhulma unatumia dini tayari watu wenye akili wanakudharau.

Ile tume ya haki jinai ya Jaji Chande Othman ndio wanatakiwa kurekebisha haya mapungufu katika mfumo wa sheria.

Hili siyo swala la Waislamu wala la kidini ni swala la Watanzania.

Umeelewa wewe maamuma?
 
Unafuraha sana wenzako kukandamizwa miaka 10 ushahidi bado,,unajihesabia haki sababu ya imani yako lakini kwenye magereza wako wengi tu waimani yako wameshikiliwa tena kwa kubabikiziwa kesi na hao waimani yako,huu mfumo auangalii imani baba ukiingia 18 zao utajuta kuzaliwa kamuulize lissu walio mfanyia ugaidi ni dini gani?
kumbe unajua huu mfumo hauangalii dini? Hapo sawa, kama hao masheikh hawana makosa watatoka tu, haki itawahifadhi. Waliomfanyia lissu ugaidi watakufa vibaya sawa na ugaidi wao
 
Uislamu na ugaidi wapi na wapi! Usome Uislamu acha uvivu

Umeshaambiwa wameshinda kesi
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Wakatulie huko huko jela au wafie huko huko .
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA

Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.

Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

Masheikh hao ni:

1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.

Wamekua gerezani toka 2014.

Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.

IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
Dah!....mawakili Pascal Mayalla Petro E. Mselewa BALENSIAGA tuambieni nini huwa kinasababisha mtu kukamatwa tena muda mchache baada ya kuachiwa na mahakama.
 
Wacha wee mfuasi wa Bwajima nawaonea huruma jirani zako waislam kwa chuki hii..mrudishe Magufuli au msimike Kabudi ili aje kuwatesa waisla tena furaha yako irudi.
Hao mashekhe waliwekwa jela na muislamu mwenzao JK mwaka 2014.

Waislamu ni magaidi sana
 
Wewe mpumbavu tena mpumbavu tena akili unazo lakini ujui kuzitumia subili likukute upelekwe segerea bila hela utajua ukweli ulipo
Kwamba hao maustadhi walikaa Segerea kwakuwa hawana hela?
Jifikirie tena uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom