Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,965
- 13,739
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA
Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.
Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
Masheikh hao ni:
1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.
Wamekua gerezani toka 2014.
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.
IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.