Mashaka makubwa kwa uongozi wa awamu ya tano

Wapendwa wanajamvi,
Nimevumilia na hàtimaye uzalendo umenishinda. Hakuna rais yeyote duniani ambaye alishawahi kuwa na kauli za dharau na maudhi kwa wananchi wake kama rais magufuli.

Hata ukifuatilia rekodi za Marais ambao waliongoza kidikiteta katika nchi zao hawakuwa na kauli za kuudhi na za kipumbavu kama nilizosikia Leo kutoka kwa huyu rais.

Amewadharau watu wote kama alivyozoea kumdharau mke wake. Wako wapi wazee mbalimbali na viongozi wa dini ambao kipindi cha kikwete walikuwa wakitoka wazi na kukemea?

Hii dharau huyu mtu kaipata wapi na kwa nini awe na dharau kiasi hiki kama vile nchi haina wanaume wa kuhoji?

Mimi siko tiyari kuvumilia dharau za kijinga hizi kule kwetu mara hasa kijijini kwetu KIRIBA hatukuzoea dharau za kijinga kama hizi zilizotokea Leo, hii Ni zaidi ya udikiteta.

Sasa namuomba rais magufuli atangaze rasmi kuwa nchi sasa inaongozwa kibabe ili tunaoonekana kutokubaliana na upumbavu huo tujitokeze na wanaoonekana kupendezwa na upumbavu huo nao wajitokeze tutafutane mitaani basi.
Mr Lowassa, Mr Mbowe, Mr Kingunge, Mr Mbatia and other staffs, the country will not be peaceful in the hands of this newly elected president, the opponents will go missing, people who oppose him will be killed and or jailed, when you see these things, get to know that his end is near .By TB Joshua.
 
Nikaendelea kusema tena baada ya kuona ameshindwa kwa kiasi kikubwa atawaambia.. Mimi nilitaka kuwatoa katika umaskini wenu lakini nyie ni wavivu na mnapenda kulialia kwenye mitandao,nawaacha na umaskini wenu..
Ha haaaaaaa Musa wa Tanzania
 
Kweli kikwete aliwap watu uhuru wakuzungumza.....imagine saivi si viongozi wa dini wala wazee wanao inuka na kukemea, uyu wanamuogopea nn this man is very stupid
 
Yaani kwa mawazo yangu nadhani Snura Mashauzi angeweza kuwa kiongozi mzuri kuliko huyu Faru Yohana!
 
acha ujinga wewe, hakuna mwenye nyumba, hii nchi ni ya democracy haiwezekani watu wachache watunyanyase wengi, dawa yao ipo jikoni, ngoja iive.

Siku ukiamka usingizini ndiyo utajua nani mjinga mimi au wewe.Muda ni dawa.
 
Kitu kinanifurahisha ni kwamba tunakoelekea hawa vibaraka wa ccm wanaoshabikia bila kujua nyuma wala mbele wataelewa na mambo yataenda pouwa sana
 
Jamaaa hua hana hoja hata moja ya ku convince watu sidhani kama alichaguliwa na watu...
 
..hii message imekaa kama imeandikwa na shoga lenye kulegeza midomo...message imekaa kipashukuna haswa...na kama inatoka kwa mwenye jina hapo na inamgusa waziri kwa yaliyojiri leo basi tuna mgogoro mkubwa kwenye utawala huu...yetu macho...
Hofu ni huo mwandiko wake.Kama ni yeye kweli,basi,hata hiyo elimu ya juu aliyo ipata kwa jina hilo ina mashaka pia.
 
Niache Mimi Ujinga au Dompo anayeongea kwa mbwembwe nyingi wakati anachofungua kilitafutwa na Msoga.Hivi toka ameingi mradi upi amepata??Rail, Mwendokasi,flyovers,Barabara vyote amevikuta projects zilishakuwa signed.Mpaka sasa mwanaume ni JK wengine wachoraji tu.
Na Nape
 
Back
Top Bottom