Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 438
- 1,589
Leo kulikuwa na kikao pale Benjamin Mkapa, walianza kuitwa viongozi wa Yanga wakaongea yao na baadae wakaitwa Simba wakaongea yao, wote waliitwa kwa nyakati tofauti.
Naipongeza sana serikali kwa jitihada za kuleta amani katika mpira wetu, Kabudi ni msomi wa sheria, alikuwa anafanya dispute resolution kwa maana ya mediation.Ndio maana alianza na walalamikaji Yanga na baadae akaita Simba.
Wangeitwa wote katika kikao hicho kusingekuwa na mwafaka, kila mmoja angekuwa anapayuka.
Hata hivyo wengi tumeshangazwa sana na mashabiki wa Yanga kwenda uwanjani na kukaa nje kusubiria Hersi kaambiwa nini, kwa mazingira yale ya mashabiki washamba kwenda uwanjani na kukaa getini kumsubiria kiongozi wao inawezekana hata siri za kikao zikavuja.
Kwanini mashabiki mnakosa ustaarabu, ameitwa Hersi na wenzake pale Benjamini Mkapa nyie mashabiki mmefuata nini, je mliambiwa na viongozi wenu mje ama ndio ushamba mzigo.