Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

2fc632e5ca559a08cb860c10bcfddf25.jpg
 
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.

Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende

Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.

Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.

Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.

Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki
Pia wale wa Horoya tukutane kwa kikao kifupi🤔
 
... Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu. Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.
Sawa
 
Mbona mashabiki wa vipers mpo kimya sana?.Endeleeni na zile tambo zenu za kishoga.
 
Back
Top Bottom