Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Lakini wote wadhaifu..!!
ila wapo Champions League, na timu dhaifu ya Vipers ilimuondoa kwenye Champions League na kumpeleka huko kwenye mashirikisho huyo TP Mazembe. Na Yanga pia aliondolewa na timu dhaifu ya Al Hilal na kupelekwa huko kwenye mashirikisho
 
Kama Kinyumenyume FC, Ngada FC, Mapaka FC, Makolo FC walishangilia goli moja tena la kusawazisha, iweje VIPER wasishangilie goli moja tena la ushindi?
Tunazungumzia Champions League, sio NBCPL au sijui Shirikisho, hizo ni ligi dhaifu. Kuanzia mwezi August tutakuwa tunazungumzia Super League
 
Empologoma okuzisiba kiringa ekyaffe bulijjo era temweraliikirira, Vipers Goal 3 Simba O bano baffe abakooye
Tewesudiya muganda wange era wandibanga osirika busirisi, Mnyama akyali waamanyi nyo, era agenda kubba Vipers akomewo ne points ssatu.
 
Back
Top Bottom