Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,877
- 15,432
Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app