Mashabiki Simba turuhusiwe kumuongezea mshahara Larryy Bwalya

Weka akiba ya maneno muda bado
mchezaji mzuri unamuona siku moja tu. anaweza asiwe vizuri wakati wote lakini ukweli unabaki pale kwamba ni mchezaji mzuri. kwa mtu anayejua mpira aliweza kumuona BM siku ya kwanza tu kuwa huyu jamaa ni chuma,hivyo hivyo kwa Miqussonne.
 
Kiwango cha Bwalya nilivyomwona ni cha kawaida sana.
Labda abadilike huko mbeleni, uwezo wake upo katika kupiga pasi tu.
Vyenga vyake ni vya furahisha jukwaa tu na havina madhara.
Anatakiwa apige chenga huku anaeleka golini kutia madhara kama Miqissone.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Sikulaumu uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo. Huyu anayefunga atafungaje bila kupewa pasi. Au unataka mpira wa anao anao wa kupiga chenga timu nzima?
 
Tueleze wewe uwezo wako wa kufikiri, kwakuwa kila mtu anao mtazamo wake.
Lete hoja zako zenye mashiko.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji mzuri sana lakini nasikitika hata weza kuwa sehemu ya kikosi chwa kwanza akisubiri nyuma ya Fraga Mkude na Chama.

Alisajiliwa kwa Mihemuko.
 
Back
Top Bottom