MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,015
18,656
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Maneno hayo ameyasema Stephen Masele aliyewahi Kuwa Rais Wa Bunge la Afrika..

20240406_081627.jpg

Screenshot_20240406_083352_Adobe Acrobat.jpg

Kwa wale wenzangu wa Kiswahili..
20240406_094258.jpg
 
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Maneno hayo ameyasema Stephen Masele aliyewahi Kuwa Rais Wa Bunge la Afrika..

View attachment 2955218
Mnahangaika bure....tanzania inaongoza kwa. Dhulma dhidi ya RaiaWake Mungu anaadhibu kwa njia. Mbali mbali.
 
Masele ujui mpira bhana Yanga tumetolewa kwa kukataliwa goli letu basi hakuna kingine tena hapo wewe pambana na Siasa zako tu.
 
Back
Top Bottom