Mary Christmas kutoka Kwa nabii Dominic kiboko ya wachawi, mkesha wa mwaka mpya Ng'ombe wasio na idadi watachinjwa

Sasa kama kila kabila lina jina lake, huyo anakuaje Mungu mmoja kwa Waafrika wote?
Unashangaa hilo mbona Mungu wao wazungu (Israel)
Screenshot_20231223-104642.png
anamajina mengi
 
Unashangaa hilo mbona Mungu wao wazungu (Israel)View attachment 2850475anamajina mengi

Hayo sio majina mengi bali ni uwezo au sifa nyingi alizonazo, jina lake linatajwa moja tu kama Yehova...

Kuponya, kuumba, kuwa hapa, mwenye nguvu n.k huu ni uweza wa huyo Yehova...

Ni kama wewe Ninja assasin ulivyo na uwe uwezo wa kula, kutazama wagonjwa, kupenda watu wote n.k hivyo baada ya jina lako Ninja assasin tuwe tunaongezea na hizo sifa au uwezo...

Kama umesoma elimu ya Tanzania, ulipokuwa shule ya sekondari K8swahili kitado cha kwanza, ulifundishwa aina za Nomino, kuna nomino inaitwa ya pekee, haya ni majina ya pekee (unique names) ambayo hakuna mbadala wake na moja ya nomino hiyo ni jina Mungu...
 
Back
Top Bottom