Mary Christmas kutoka Kwa nabii Dominic kiboko ya wachawi, mkesha wa mwaka mpya Ng'ombe wasio na idadi watachinjwa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
10,798
25,848
Ni salamu za Christmas kutoka Kwa nabii Dominic kiboko ya wachawi wa kanisa la CGC hapa buza Kwa lulenge kuelekea mwisho wa mwaka katika mkesha wa mwaka mpya ambapo Ng'ombe wasio na idadi watachinjwa na kuliwa katika mkesha huku watu wakifunguliwa vifungo vya kiroho .

Karibu

USSR
IMG_20231223_093050_405.jpg
IMG_20231223_093046_726.jpg
IMG_20231223_093042_888.jpg


Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Waafrika wanavituko sana hata wazungu wakiona hizo picha wanaishia kuvunjika mbavu

Halafu ng'ombe wasiokuwa na idadi mnalisha hadi majini?
Wazungu nao waliugomea huo ukristo Kwa muda na vita vya muda mrefu lakini baadae wakatulia wao sio waanzirishi

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
So tuseme kuwa kuiga vitu vyema kama tabia nzuri za wazungu ni upuuzi je sisi waafrika hatuna upuuzi wetu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kwako wewe hayo ma dini ya kuletewa ni tabia nzuri go back to your roots Africa tuna Mungu wetu na ni very powerful

Hizo ni tamaduni zao wenyewe inashangaza muafrika anapinga kanisa lisiruhusu ushoga wakati hilo kanisa ni lao na linafata tamaduni zao

Kitu cha kuchekesha mababu zetu walio kufa tukienda kuwatembelea makaburini tunawaita mizimu"majini"
Mizimu yao "wazungu" tunawaita watakatifu mfano Paulo,petro,matayo nk

Religion is New opium in Africa and Arab
 
Back
Top Bottom