Marudio ya chaguzi Zanzibar - Balozi zanena

kwa Africa liwalo na liwee amani maana yake ni ccm kuwa ikulu. kumuomba Mungu amani ni unafiki amani tunayo wenyewe na tunaitunza sisi na kuiharibu wenyewe. amani ipo kama ni kuomba tumuombe Mungu ccm iione dhambi inayoinyemelea siku ya uchaguzi je kuna ssalama. au ndiyo ule msemo wa liwalo na liwe...
 
Uchaguzi uliofutwa ni wa Rais wa Zanzibar kwani ulikua bado haujatangazwa.

Uchaguzi wa wajumbe wa baraza la wawakilishi haujafutwa kihalali kwani matokeo yake yalikua yameshatangazwa na washindi walishapewa vyeti na sasa wanasubiri tu kuapishwa.
Kama kuna mgombea yeyote wa CCM wa wajumbe wa baraza la wawakilishi au diwani ambaye hakuridhishwa na matokeo ya jimbo lake basi aende mahakamani,sheria iko wazi kuwa matokeo ya wajumbe yakishatangazwa yanaweza kuhojiwa mahakani na mahakama ndiyo itakayotoa hukumu ama kutatupilia mbali au kutangaza kuwa ushindi huo haukua halali kutokana na ushahidi wa pande zote mbili kutolewa mahakamani.
Hivyo basi wajumbe wote na madiwani wa CUF na CCM walioshinda uchaguzi Zanzibar tarehe 25/10/2015 ni halali na ni haki yao kuapishwa.

Mh. Magufuli rais wa Tanzania simamia katiba na sheria ya Jamhuri ya Muungano. ZEC haiko juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Magufuli Hakikisha Wajumbe wabaraza la wawakilishi wote na madiwani wote wenye vyeti vya ushindi wanaapishwa mwenyepingamizi aende mahakamani.
Tume ya ZEC isiruhusiwe kuvunja katiba ya Tanzania.
Magufuli akikubali kuzorotesha utawala wake kisiasa kwa sababu ya maamuzi ya Jecha basi ajue ataendeleza udhaifu wa kushindwa kutawala kama rais wa Jamhuri ya Muungano na badala yake atabaki kuwa rais wa kutoa amri ya kuivamia Zanzibar kijeshi tu na kuwapiga raia waliokuwa wamechagua wawakilishi wao kihalali bila kuvunja sheria.

Kutowaapisha ndio italeta mvutano na mgogoro wa kisiasa. Itasababisha hata wale wabunge wa Muungano wa CUF waliotokea Zanzibar wajitoe kule Dodoma kwani wote walishinda kihalali kwa kuwa hawakuwahi kujitangazia ushindi kabla ya tume kutangaza matokeo.

Hapo watakua wana haki ya kupinga matokea ya ushindi wa mgombea yeyote atakayetangazwa kinyume na wao.
Patakua na watu wawili wenye vyeti vya ushindi kwenye jimbo moja.
Utakua ni ujinga mkubwa wa mbabaishaji Jeche.
 
Subiri wenyewe waje. Jecha haingiliwi-anaongoza tume huru. JPM hayamhusu kikatiba. Hatuhitaji misaada. UKAWA wana-abudu wadhungu. Hawa mabalozi wakale malimao. etc Labda hawa jamaa wanaleta FYOKO FYOKO nao wadhibitiwe.
umehelewa kilicho andikwa au tu unadandia bomba kwa nyuma.

swissme
 
Huo ubalozi wa Marekani vipi kwenye iyo makala? Inaonekana hafaham Denmark is a member of European Union!!!
 
Magu wakati anaongea na wazee wa Ccm Dar alisema kisheia hana uwezo wa kuingilia maamuzi ya Jecha Zanzibar. Ila ana uwezo wa kuingilia kwa wale watakao leta fyokofyoko. Ngoja wazungu naye wamtulize sasa, kwa hali hii ya Zanzibar bora tuwekewe vikwazo tu labda akili itatukaa sawa.
Nimeipenda
 
U.S. Embassy Tanzania
January 29 at 6:17pm · Dar es Salaam, Tanzania ·


Dar es Salaam, 29 January, 2016
STATEMENT ON ANNOUNCEMENT OF ELECTION RE-RUN IN ZANZIBAR

The High Commissioners and Ambassadors to Tanzania of Belgium, Canada,Denmark, the European Union, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Norway, Spain, Sweden, Switzerland, the United Kingdom and the United States, today issued the following statement regarding the recent announcement of an election re-run in Zanzibar:

“We reiterate our concern with the Zanzibar Electoral Commission’s decision to annul the election of October 25, 2015, without having provided evidence to substantiate its claim that irregularities had taken place, and despite the positive assessments of electoral observation missions conducted by the Commonwealth Secretariat, the African Union, the Southern African Development Community, the East African Community, the European Union, and the United States of America.

“We regret that an election re-run was announced, while a dialogue between parties was still ongoing. For the benefit of all Tanzanians, we reaffirm our belief that the current political impasse in Zanzibar would be best addressed through a mutually acceptable and negotiated solution.

“We are deeply concerned that the unilateral declaration of a re-run may lead to an escalation of intimidation and tensions. We commend the population of Zanzibar for having exercised calm and restraint to this date, and call on all parties and their supporters to continue to work together towards finding a peaceful solution.

“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and representative. Under the current circumstances, the provision of international electoral observation would be difficult to consider.

“We urge President Magufuli to exercise leadership in this political impasse, and to pursue his previous calls for a negotiated solution between parties, so as to ensure a peaceful outcome, but also one that ensures the integrity of the electoral process.

“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and representative. Under the current circumstances, the provision of international electoral observation would be difficult to consider.
“We urge President Magufuli to exercise leadership in this political impasse, and to pursue his previous calls for a negotiated solution between parties, so as to ensure a peaceful outcome, but also one that ensures the integrity of the electoral process.
 
Unataka tukae tukisifia kama CCM wanavyofanya? 2010 walisema Elimu bure haiwezekani ila alipokuja Magufuli kusema Elimu bure wote waaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bila ya kuangalia mtafanikishaje. Leo anawatumbua mnajiliza kimya kimya bila kulalamika. Kazi ya upinzani ni kukosoa siyo kulalamika. Malalamiko ni kama hii ya kubania ushindi wa wenzenu kwa vigezo visivyokidhi haja.
Tatizo CHICHIEM wamekaa wakikopi sera za upinzani
 
Acha mambo ya kuropoka ushakuwa mtu mzima . Ya UKAWA yameingiaje kwenye hii post kama siyo wehu wako na kusema sema ovyo. Watu tunajadili vitu vya msingi wewe unaleta utoto. Tukiwekewa vikwazo ni nyie omba omba ndo mtaumia.Leo unawaita UKAWA Ni wa kuhusudisha wazungu wakati JK rais kupitia chama chako kazunguka dunia nzima hadi kushina kupiga picha na kina Beckham. Narudi acha utoto

nasikitika hujamwelewa uliyemquote , yeye anawasanifu team Lumumba kwamba wakija ndo wataanza kutoa huo utetezi maandazi
 
Back
Top Bottom