Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 176
Usawa mbovu huu, lzm abadilike, waongaji wote wametumbuliwa na magu boy
hamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.![]()
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.
Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.
“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.
Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.
Chanzo: Swahili News
huenda hii nayo ikawa sababuhamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.
Unamaanisha ''NTA El Munyah....''Huyu kadinda kama hajawahi kula hii kitu atakuwa boya wa kwanza.
mtafute kwenye kile kipindi anachotangaza nadhani itakuwa rahisi zaidi maana huenda hapa hakuna mwenye namba zakeNaomba nipate nafasi ya kuonana na wema! Nina jambo mhimu sana kwake ili aweze kutulia zaidi ya anavotaka kutuaminisha kuwa ametulia.Mwenye namba zake pls
Apumzishwe au.apumzikeDah! Huyu dada apumzishwe kwakweli
Apumzishwe jamani...watu wamuonee huruma kumuweka midomoni mwaoApumzishwe au.apumzike
kama penny nani anamiweka mdomoni sahivi au jokate?Apumzishwe jamani...watu wamuonee huruma kumuweka midomoni mwao
Sidhani kama kuna mtu anapenda kuongelewa vibaya kupitiliza....i feel sorry for herkama penny nani anamiweka mdomoni sahivi au jokate?
wema asipoongelewa si atachanganyikiwa