Marekani yataja nchi tisa zinazokandamiza Uhuru wa Habari na Tanzania imo

Endeleeni kushangilia hao wapuuzi wanaanza hivyo hivyo Mara vikwazo vya kiuchumi na mengineyo...Korea kaskazini na ukomavu wake wote kasalimu amri sembuse sisi hakuna tunachotengeza tunajisifia kununua...
 
Hawa watu mambo yao ya polisi(wazungu) kuua raia wao(weusi) hawayaongelei wanarukia mambo yasiyiwahusu..

Sikubaliani na yanayoendelea nchini kukandamiza uhuru wa habari...lakini matatizo ya mtanzania yatatatuliwa na mtanzania mwenyewe sio hao wanafiki wamarekani ambao wako ki maslahi....

Wapambane na ubaguzi wa nchi yao watuache tupambane na nchi yetu
In maoni yao tu hata huyapendi; pia kama yana ukweli, maoni yako hayana uwezo was kuubadili ukweli!
 
Back
Top Bottom