Marekani yasema kifo Cha Ebrahim Raisi hakitabadilisha msimamo wao dhidi ya Iran, Helicopter ya Raisi ilitengenezwa USA 1971!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,726
145,609
Wakati viongozi mbalimbali wakitoka salamu za pole kwa huzuni kwa Ayatollah Khomeini Marekani wao wamesema msimamo wao dhidi ya Iran uko pale pale hakitabadilika kitu chochote

Source: Al jazeera news
 
Na kama Trump atachukua tena White House anaweza akamtungua Grand Ayatolah bora hata Biden.
 
Binyamin Netanyahu kasema Israel haijahusika na hilo tukio. Pili, kasema wangeamua kulipa kisasi; hicho sio kisasi cha level yao! Haya.
 
Wakati viongozi mbalimbali wakitoka salamu za pole kwa huzuni kwa Ayatollah Khomeini Marekani wao wamesema msimamo wao dhidi ya Iran uko pale pale hakitabadilika kitu chochote

Source: Al jazeera news
Hilo liko open Iran nikama Marekani inaendeshwa ki tasisi sio na mtu moja kama Tanganyika alivo endeshwa na JPM akawa ndo kila kitu.
 
Back
Top Bottom